SHULE YA MSINGI CHIPOLE INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO


UONGOZI WA SHULE YA MSINGI YA SHIRIKA LA MTAKATIFU AGNES  CHIPOLE. UNAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA WAVULANA NA WASICHANA MWAKA 2020.


SHULE IPO KATIKA MKOA WA RUVUMA WILAYA YA SONGEA INAPOKEA WANAFUNZI KUANZIA DARASA LA I, II, III, IV, V NA VI.


TAREHE YA KURIPOTI  KWAAJILI YA USAHILI NI  OKTOBA, 11, 2019  HUKU TAREHE YA MTIHANI IKIWA NI  12 OKTOBA 2019  SAA 2:00 ASUBUHI.


ADA YA MTIHANI NI TSH. 10,000/-

SHULE  NI YA BWENI YENYE MCHANGANYIKO WA WAVULANA NA WASICHANA NA YENYE WALIMU MAHIRI NA WAZOEFU KATIKA UFUNDISHAJI.


“SHULE INAPOKEA WANAFUNZI WA MADHEHEBU YOTE”.


TANGAZO HILI LINAPATIKANA KATIKA VITUO VIFUATAVYO:

SHULE YA MSINGI CHIPOLE NO. 0756-961896 /  0717-439469

DAR – ES – SALAAM, ST. SCHOLASTICA PRIMARY SCHOOL  ( MZAMBALAUNI ) NO. 0656728332.

KYELA DUKA LA NGAYOCHA KYELA SOKONI KARIBU NA DUKA LA DAWA LA MZOMOZI NO. 0762787831/ 0682624862 / 0714088486

NDANDA – MADEKO NO. 0718412358

SONGEA – ST. ANDREW (BOOK BINDING) JIMBONI

MBINGA -  STAND KUU BANDA LA SEMBE HALISI CHIPOLE

TUNDURU  -  PAROKIANI

 VITUO VYA MTIHANI ( USAHILI ) NI:-

SHULE YA MSINGI CHIPOLE.
ST. SCHOLASTICA UKONGA DAR – ES – SALAAM.

  “ MLETE MWANAO APATE ELIMU BORA NA MALEZI BORA”











Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato