Makamu wa Rais akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Denmark, Ufaranza na Qatar hapa nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Denmark hapa Nchini Bibi. Mette Norgaard Dissing Spandet wakati Balozi Spandet alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikuklu Jijini Dar Es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Bw. Frederic Clavier wakati Balozi Clavier alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikuklu Jijini Dar Es salaam 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bw. Abdulla Jassim Al-Maadadi wakati Balozi Al-Maadadi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikuklu Jijini Dar Es salaam



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato