VIDEO: Msemaji mkuu wa serikali afunguka sakata la ndege Afrika kusini
Serikali imewasilisha hoja tatu za nguvu katika mahakama ya Afrika Kusini, kuhusu zuio la ndege ya shirika la ATCL, pia amewatahadharisha watanzania wanaoihujumu serikali kwenye hili swala la ndege kuzuiwa na kusema watafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSEW KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment