VIDEO: Madiwani wa CHADEMA wasusia uchaguzi watoka nje
Madiwani wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wilayani Biharamulo mkoani Kagera wamesusia uchaguzi wa kamati za kudumu za balaza la madiwani wakidai kuwa hawakutendewa haki katika uchaguzi huo
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment