VIDEO: Fahamu sheria na haki za wanawake waliochika
Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002 imefafanuliwa na mwanasheria wa kituo cha sheria na haki za binadamu Arusha Freddy Lymo ambapo amesema wanawake wengi wananyanyasiki kutokana na kutofahamu haki zao katika ndoa
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment