VIDE: BREAKING: Moto mkubwa umezukaka Jijini Arusha katika kiwanda cha nguo cha Sunflag
Moto mkubwa umezuka katika Godauni la Kiwanda cha Nguo cha Sunflag Kilichopo Jijini Arusha ambapo mpaka sasa unaendelea kuteketekeza ambapo eneo hilo linahifadhiwa pamba ambapo Mkuu wa Wilaya tayari anashirikiana na wafanyakaz kuzima moto huo
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment