Spika, Job Ndugai aongoza kikao cha Kamati ya Bodi ya Uwekezaji Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Mjini Zanzibar.
|
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akiongoza kikao cha kamati ya Bodi ya uwekezaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (hawapo kwenye picha) katika hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar, katika Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ulioanza leo tarehe 30 Agosti, 2019 mpaka tarehe 5 Septemba, 2019 |
Comments
Post a Comment