VIDEO: CUF yatikisa Handeni Vijijini, mamia wachukua kadi/ Mbunge, Diwani wafunguka
Wabunge saba wa CUF Jumatano hii wameendelea na ziara yao ya kukagua uhai wa chama chao katika baadhi ya vijiji vya jimbo la Handeni Vijijini ikiwemo Hoza, Ruye, Sezakofi, Kwamsisiri nk . Katika ziara hiyo mamia ya watu wamechukua kadi za CUF katika baadhi ya vijiji ambavyo wamevitembelesa ndani ya jimbo hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBCRIBE
Comments
Post a Comment