Tetesi: Golikipa Kindoki aachwa Yanga SC
Inasemekana golikipa wa Yanga SC, Klaus Kindoki anaachwa ili kutoa nafasi kwa klabu hiyo kusajili mchezaji mwingine (mshambuliaji) wa kimataifa.
Inaelezwa kuwa, kulikuwa na mvutano kuhusu kumtema Kindoki ambaye ni raia ya DR Congo wengine wakitaka abakizwe lakini wengine wakasema haiwezekani kukawa na magolikipa wawili wa kimataifa.
Comments
Post a Comment