Pato la kampuni ya Huawei lazidi kupaa


Pato la kampuni kubwa ya teknolojia ya China Huawei limeongezeka kwa asilimia 23.2 na kufikia dola bilioni 58.3 za kimarekani katika nusu ya kwanza ya mwaka huu ikilinganishwa na la mwaka jana.

Kwa mujibu wa ripoti ya nusu mwaka iliyotolewa na kampuni hiyo, kiwango cha ongezeko la pato la kampuni hiyo katika kipindi kama hicho kilikuwa asilimia 8.7.

Mwenyekiti wa kampuni hiyo Bw. Liang Hua amesema, uendeshaji wa kampuni ni mzuri, na hali ya kampuni hiyo ni nzuri kama zamani.

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato