VIDEO: Chadema waahidi kuchukua maamuzi haya ya kisiasa kuhusu Lissu kufutwa Ubunge


Baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu kutangazwa kufutwa Ubunge na Spika Job Ndugai, Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vicent Mashinji amefunguka maamuzi ya kisisasa ambayowamepanga kuyachukua.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato