Singida United yamsajili Marcelo
Beki wa kushoto kutoka Malindi FC ya Zanzibar Muharami Salum Marcelo ametua Singida United kwa mkataba wa miaka mitatu.
Marcelo mwenye umri wa miaka 24 ana uwezo pia wa kucheza kama winga wa kushoto.
Marcelo mwenye umri wa miaka 24 ana uwezo pia wa kucheza kama winga wa kushoto.
Comments
Post a Comment