KMC yazidi kusajili yachukua mwingine kutoka Ndanda FC
Mshambuliaji Vitalisy Mayanga amejiunga na klabu ya KMC kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Ndanda FC.
KMC inaendelea kujiimarisha kwenye usajili ili kupambana kwenye msimu ujao.
KMC inaendelea kujiimarisha kwenye usajili ili kupambana kwenye msimu ujao.
Comments
Post a Comment