Nyumba 2,000 za bei nafuu kujengwa Kigali Rwanda


Uzinduzi wa nyumba 2,000 za makaazi zenye bei nafuu unatarajiwa kufanyika kesho karika eneo la Nyamirambo mjini Kigali Rwanda.

Mradi huo ni ubia kati ya shirika la hazina ya kujenga nyumba la Shelter Afrique, na benki ya maendeleo ya Rwanda. Eneo hilo litakalojulikana kama Rugarama Park Estate litakuwa pia na nyumba soko, maduka na bustani.

Takwimu za shirika la Planet Consortium zinaonyesha kuwa mahitaji ya kila mwaka ya nyumba maeneo ya mijini ni nyumba 31, 279 lakini zinazojengwa ni 1,000 tu.



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato