VIDEO: Tazama Penati ya Bocco na Kagere zilivyotaka kumtegua kipa wa Mbao
Klabu ya soka ya Simba Jumapili hii imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbao kwenye mchezo wa ligi kuu ambao umechezwa katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro. Katika mchezo huo Simba ilipata penati mbili.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Comments
Post a Comment