VIDEO: Kocha wa Mbao akubali yaishe kwa Simba/ Alia na penati, warudi nyumbani kujipanga upya
Kocha wa Mbao FC amekubali matokeo ya kufungwa mabao 3-0 na Simba katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro. Hata hivyo kocha huyo ameonyesha kuumizwa na penati mbili ambazo Simba walizipata lakini amesema kuwa anarudi nyumbani kwa ajili ya kujipanga upya.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Comments
Post a Comment