VIDEO: Aussems atema cheche/ Baada ya Mbao, JKT Tanzania watahadharishwa
Kocha wa Simba Patrick Aussems, amefunguka baada ya kuifunga Mbao FC mabao 3-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Mchezo huo umeonekana ni kama wa kulipa kisasi baada ya Simba kufungwa bao 1-0 na timu hiyo kwenye mzunguko wa kwanza. Aussems pia amegusia mchezo wa na JKT Tanzania Jumatano ya April 3, 2019.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Comments
Post a Comment