Mmoja afariki, watano wajeruhiwa katika mgogoro wa ardhi


Mtu mmoja amefariki na wengine watano wamejeruhiwa  baada  ya  kushambuliwa kwa Mikuki, Mishale, Sime, Rungu na Fimbo katika vurugu za kugombea ardhi zilizotokea katika  kata  ya  Monduli juu  wilayani  Monduli  mkoani  Arusha.

Picha: Majeruhi aliyelazwa katika hospitali ya wilaya ya Monduli, Lekishoy Mbasia mkazi wa kijiji Lendikinya wilayani Monduli akionyesha majeraha aliyoyapata mguuni Kwa kuchomwa na sime kufuatia baada ya kuibuka mgogoro wa kugombea mipaka kati ya vijiji viwili wilayani Monduli

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato