VIDEO: Video ya mtandaoni yamponza Mkuu wa Soko


Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Arusha, Dkt. Selemani Madeni amekasirishwa na kitendo cha mtumishi ambaye alikuwa mkuu wa soko kuu Arusha kwa kurikodi Video fupi kwa wafanyabiashara wamachinga na kuiweka mitandaoni huku ikionyesha ubishani baina yao na mfanyakazi huyo ambaye alikuwa anadai ushuru kwa machinga ambao wana vitambulisho vya Magufuli.

TAZAMA FULLL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE 
 


Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato