VIDEO: Kipa wa Biashara afunguka mazito, "Nilikuja Bongo kusaini Yanga"/ Naondoka Biashara (EXCLUSIVE)


Kipa wa timu ya Biashara Nurdine Balora amefunguka mazito ambayo watu wengi walikuwa hawayafahamu. Kipa huyo ameweka wazi kuhusu matatizo yake na kocha wa klabu yake hiyo na sababu iliyompelekea kutolewa kwenye kipindi cha pili wakati wa mchezo wa ASFC dhidi ya Yanga. Balora pia ameweka wazi safari yake ya kuja Tanzania kwa mara ya kwanza ilikuwa ni kuja kusaini kuichezea Yanga lakini viongozi wa timu hiyo ndio walimuangusha na kupelekea kutimkia Biashara.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE



Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato