Timu nane kuingia dimbani katika mzunguko wa pili Ligi kuu bara


Ligi Kuu Bara inaendelea Leo timu nane kuchuana kwenye Viwanja vinne kutafuta pointi tatu ikiwa ni mzunguko wa pili.

Kagera Sugar watacheza leo na kikosi cha Tanzania Prisons Uwanja wa Kaitaba, KMC wapo mkoani Shinyanga watacheza na Stand United uwanja wa Kambarage.

JKT Tanzania wataikaribisha Mwadui Uwanja wa Isamuhyo na Ruvu Shooting leo atakuwa kazini kumenyana na Mbeya City uwanja wa Mabatini.

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato