Kamati ya Rufaa ya Maadili yatengua adhabu ya Meneja wa Simba
Kamati ya Rufaa ya Maadili yatengua adhabu ya Meneja wa Simba Richard Robart iliyotolewa na kamati ya Rufaa ya TFF.
Richard alifungiwa mwaka mmoja kujihusisha na Mpira na faini ya Shilingi Milioni nne.
Comments
Post a Comment