VIDEO: Rais Magufuli atuma salamu za Mwaka Mpya kwa aina yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2019 Watanzania wote na kuwaomba wadumishe umoja, amani na upendo waliouonyesha katika mwaka 2018.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA, PIA SUBSCRIBE
Comments
Post a Comment