Samir Nasri arejea ligi kuu ya Uingereza

Mchezaji Samir Nasri amejiunga na klabu ya West Ham ambapo ataitumikia klabu hiyo hadi mwisho wa msimu huu.

Nasri alishawahi kuchezea vilabu vya Arsenal na Man City kwa nyakati tofauti katika ligi kuu ya Uingereza.

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato