Matukio katika picha; Show ya Alikiba na Sauti Sol Mombasa
Usiku wa kuamkia leo msanii wa Bongo Fleva, Alikiba alikuwa na show Mombasa nchini Kenya.
Katika show hiyo iliyoandaliwa na NRG Radio, Alikiba alitumbuiza na kundi la muziki kutoka nchini humo, Sauti Sol ambayo wamewahi kufanya wimbo mmoja pamoja.
Comments
Post a Comment