Chelsea yakataa ofa ya Bayern Munich

Klabu ya Chelsea imekataa dau la zaidi ya paundi milioni 20 kutoka kwa klabu ya Bayern Munich kwaajili ya mchezaji Callum Hudson-Odoi, Sky Sports News understands.

Chelsea imeiambia Bayern kwamba nyota wao huyo anathamani ya paundi milion 40.

Wapinzani wa Bayern kalika ligi kuu ya Ujerumani Borussia Dortmund nayo inamuhitaji mchezaji huyo ambaye mkataba wake na klabu ya Chelsea unamalizika mwaka 2020.

Comments

Popular posts from this blog

Mwenyekiti aishauri Serikali kuhalalisha uchangudoa ili kujipatia mapato