VIDEO: Yafahamu makaburi yaliyogeuzwa kuwa vitanda vya kufanyia mapenzi Dar
Eneo la maziko ya makabuli ya Maganga lililopo kata ya 14 Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam, liligeuka na kuwa kichaka cha uhalifu baada ya baadhi ya wakazi wa eneo hilo kugeuza kufanyia matumizi yaliyo kinyume na eneo hilo. Ambapo walikua wakitumia kuvutia bangi, kuhifadhi silaha Huku wakiyatumia makaburi hayo kuwa kama vitanda vya kufanyia mapenzi na hivyo kuwalazimu baadhi ya waumini ya dini ya Kiislam kuungana na kuchangishana fedha na kujenga ukuta ambao umezunguka eneo hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Comments
Post a Comment